Daily Words

Christianity requires obedience out of Love for God. Ukristo unahijtaji utii unaotokana na kumpenda Mungu. .../Pastor J Mlaki.
A believer is someone who believes that Jesus is the Christ, the Son of God...Mkristo au muumini ni mtu yule anayeamini kuwa Yesu ni Kristo, mwana wa Mungu. ../Pastor J. Mlaki
God is more ready to hear than we are to pray. Mungu yuko tayari kusikia zaidi ya jinsi tuombavyo.../Pastor J.Mlaki
We need the Holy Spirit to reveal the word of God. Tunahitaji msaada wa Roho Mtakatifu kutufunulia neno la Mungu.
We need a broken heart to mourn our sins. Tunahitaji moyo uliopondeka kujutia dhambi zetu. ../Pastor J Mlaki
We have been created to worship God. Tumeumbwa ili kumwabudu Mungu. ../Pastor J Mlaki.
How can we find hope in Life strugles? Tunawezaje kupata matumaini katika changamoto za maisha?... /Pastor J Mlaki
God is constantly loving and gracious..Mungu daima ni wa upendo, naye amejaa neema.../Pastor J. Mlaki
God's people need to Praise Him. Watu wa Mungu imewapasa kumtukuza Mungu. .../Pastor J Mlaki
The love of the world will drive us out of love for God. Tukiipenda dunia, kumpenda Mungu kutakuwa mbali nasi.../Pastor J. Mlaki