Daily Words
Becoming a desciple of Jesus is a lifelong experience.. Kuwa mfuasi wa Yesu ni jambo la maisha yako yote../ Pastor J. Mlaki
We are saved by the grace of Jesus Christ. Tunaokolewa kwa neema ya Yesu Kristo.../Pastor J Mlaki.
The most effective way to confront the false teachings is to know the Truth of scripture and proclaim that truth..Njia iliyo sahihi zaidi ya kupambana na mafundisho ya uongo ni kuijua kweli ya neno la Mungu na kuitangaza kweli hiyo.../Pastor J. Mlaki
Christian can stand faithful as God empowers them. Mkristo anaweza kusimama kwa uaminifu kadiri Mungu anavyomtia nguvu.../Pastor J Mlaki
We have to become students of the Word and faithful in prayer. Tunapaswa kuwa wanafunzi wa neno na waaminifu katika kuomba. ../Pastor J Mlaki
The result of sin and unbelief in others will fall on us if we do not warn them..Matokeo ya dhambi na kutoamini kwa wengine yatakuwa juu yetu ikiwa hatutachukua nafasi kuwaonya.../Pastor J Mlaki
God is our shield and guard. Mungu ni ngao na mlinzi wetu.../Pastor J Mlaki.
Fighting a good war means persevering in the faith. Kuvipiga vita vizuri ni kuvumilia na kudumu katika imani..?Pastor J Mlaki
God punishes his people for disobedience. Mungu huwaadhibu watu wake pale wanapoziacha njia zake.../Pastor J. Mlaki.
Be good witnesses to what God had done for you. Uwe shaidi mwema wa mambo Mungu aliyokutendea.../Pastor J.Mlaki.
