Daily Words

The ways of the righteous man are the ways of God..Njia za mwenye haki ni njia za Mungu../Pastor J. Mlaki
Let us serve and trust our God for whom all things are possible...Basi, tumtumikie na kumwamini Mungu wetu ambaye kwake yote yanawezekana.../Pastor J Mlaki.
Choose to serve Christ, not sin. Chagua kumtumikia Kristo, sio kutumikia dhambi.../Pastor J Mlaki
Our existence is because of God. Kuwepo kwetu ni kwa sababu ya Mungu.../Pastor J. Mlaki.
Submit to Christ as the Savior you serve. Jitoe kwa Kristo kama mkombozi unayemtumikia.
Humbly come to Jesus.. Njoo kwa Yesu kwa unyenyekevu.../Pastor J. Mlaki
God cares about every single thing that we do for Him..Mungu anajali kila jambo tufanyalo kwa ajili yake.../Pastor
Our sins are forgiven by Grace. Tunasamehewa dhambi zetu kwa neema. ../Pastor J. Mlaki.
Our sins are cleansed by the blood of Jesus. Tunaoshwa dhambi zetu kwa damu ya Yesu../Pastor J. Mlaki.
“With Christ in the boat, you can smile at the storm.” Tukiwa na Yesu Kristo katika chombo, tunaweza kutabasamu wakati tufani inapovuma.../Pastor J. Mlaki