Daily Words
The Holy Spirit will help you understands God's mysteries. Roho Mtakatifu anatusaidia njia za Mungu. ../Pastor J. Mlaki
To be in the World but not of the World. Kuwa katika dunia lakini wa Dunia hii. .../Pastor J. Mlaki
To experience the outpouring of the Holy Spirit, keep the word of God in your heart. Kuona nguvu ya Roho mtakatifu ikifanya kazi ndani yako, neno la Mungu likae moyoni mwako.../Pastor J. Mlaki
Christ has poured out His Spirit in power, and He is building His church. Kristo amemtuma Roho wake kwetu katika nguvu, naye analijenga kanisa lake.../Pastor J. Mlaki
God can bring judgement to the Land. Mungu anaweza kuleta hukumu kwenye nchi. ../Pastor J. Mlaki.
If you live in obidience to Jesus Christ, expect challenges. Ukimfuata Yesu maishani, tegemea changamoto..../Pastor J. Mlaki
In the midst of our distress, depend on God. Katikati ya mateso na shida, mtumainie Mungu.../Pastor J. Mlaki
Turn to God in all your circumstances. Mgeukie Mungu katika hali zako zote../Pastor J Mlaki
God hears our cries. Mungu anasikia vilio vyetu.../Pastor J Mlaki.
Darkness can never overpower light. Giza kamwe haliwezi kushinda mwanga. .../Pastor J. Mlaki
