Daily Words

Embrace the message of Christ and escape the wrath to come. Tuupokee ujumbe wa neno lake Kristo ili tuiepuke ile hukumu ijayo..../Pastor J Mlaki
Without Jesus, we live as slaves. Pasipo Yesu, tunaishi kama watumwa..../Pastor J Mlaki
Are you ready for Christ’s return? Je, uko tayari kumpokea Kristo ajapo mara ya pili? ..../Pastor J Mlaki
God’s grace is for everyone. Neema ya Mungu imefunuliwa kwa watu wote. ../Pastor J Mlaki
God can use anybody for his glory. Mungu anaweza kumtumia mtu yeyote kwa utukufu wake..../Pastor J Mlaki.
God can use anybody for his work. Mungu anaweza kumtumia mtu yeyote kwa kazi yake..../Pastor J Mlaki
Let God be your strength in times of trouble. Mungu awe kimbilio lako wakati wa shida. ../Pastor J. Mlaki
God promises only to deliver us from our enemies. Mungu ameahidi kutuokoa dhidi ya adui zetu../Pastor J. Mlaki
God forgives His people. Mungu anasamehe watu wake..../Pastor J Mlaki
We are saved by the grace of God through faith in Jesus Christ. Tunaokolewa kwa neema ya Mungu kwa njia ya imani katika Yesu Kristo..../Pastor J.Mlaki