Daily Words

Christ promotes peace. Yesu analeta amani. {Pastor J Mlaki}
Jesu Christ is the Messiah. Yesu Kristo ndiye Mesiah. {Pastor J Mlaki}
God had a plan to save mankind since the beginning. Mungu alikuwa na mpango wa kumwokoa binadamu tangu mwanzo. {Pastor J. Mlaki}
In Christian babtism, we are empowered by the Holy Spirit. Katika ubatizo wa Kikristo, tunapata nguvu ya Roho Mtakatifu. {Pastor J. Mlaki}
Jesus Christ is the Messiah. Yesu Kristo ndiye Mesiah
Trust in Jesus completely. Imani yako kwa Yesu isiwe na shaka. {Pastor J Mlaki}
Trust God all the time. Mwamini Mungu wakati wote. {Pastor J. Mlaki}
God promises to revive, lead, heal & encourage His humbled people. Mungu anaahidi kuleta uamsho kwa watu wake walio wanyenyekevu. {Pastor J Mlaki}
Christ's omniscience is an evident proof of his divinity. Kristo anajua mambo ya nyakati zote; na huu ndio ushuhuda kuwa yeye ni Mungu. {Pastor J Mlaki}
God is Alpha and Omega. Mungu ni Alpha na Omega. {Pastor J Mlaki}