Daily Words

God satisfies needs that cannot be satisfied anywhere else. Mungu hutosheleza mahitaji yale ambayo hakuna mwingine anayeweza kufanya hivyo popote. {Pastor J Mlaki}
Those who accept the message of Jesus Christ find themselves against the forces of darkness. Wale wanaoipokea habari njema ya Yesu Kristo wanakuwa katika upinzani dhidi ya nguvu za giza. {Pastor J Mlaki}
Both prayer and service are essential. Maombi na huduma vinakwenda pamoja. {Pastor J Mlaki}
Live in order to please God, Ishi kwa kumpendeza Mungu. { Pastor J Mlaki}
We don’t need to be perfect to serve the Lord. Hatuhitaji kuwa wakamilifu ili kumtumikia Mungu. {Pastor J Mlaki}
Stand firm in Christ. Simama imara na Yesu. {Pastor J Mlaki}
As children of God, we wait patiently for the return of Christ. Kama watoto wa Mungu, tunasubiri kwa uvumilivu kurudi tena kwa Yesu. {Pastor J Mlaki}
No one can harm or destroy our salvation. Hakuna anayeweza kudhuru au kubomoa wokovu wetu. {Pastor J. Mlaki}
Your wisdom will help other people. Ukiwa na hekima, itawafaa watu wengine. {Pastor J Mlaki)
Being a Christian does not exempt us from challenges of life. Kuwa Mkristo hauepushwi na changamoto za maisha haya. {Pastor J Mlaki}