VIDEOS
Angalia picha mjongeo (Video) za ibada na matukio maalum ya Usharika hapa https://m.youtube.com/@AZANIAFRONTCATHEDRAL
Those who accept the message of Jesus Christ find themselves against the forces of darkness. Wale wanaoipokea habari njema ya Yesu Kristo wanakuwa katika upinzani dhidi ya nguvu za giza. {Pastor J Mlaki}
Both prayer and service are essential. Maombi na huduma vinakwenda pamoja. {Pastor J Mlaki}
Live in order to please God, Ishi kwa kumpendeza Mungu. { Pastor J Mlaki}
We don’t need to be perfect to serve the Lord. Hatuhitaji kuwa wakamilifu ili kumtumikia Mungu. {Pastor J Mlaki}
Stand firm in Christ. Simama imara na Yesu. {Pastor J Mlaki}
As children of God, we wait patiently for the return of Christ. Kama watoto wa Mungu, tunasubiri kwa uvumilivu kurudi tena kwa Yesu. {Pastor J Mlaki}
No one can harm or destroy our salvation. Hakuna anayeweza kudhuru au kubomoa wokovu wetu. {Pastor J. Mlaki}
Your wisdom will help other people. Ukiwa na hekima, itawafaa watu wengine. {Pastor J Mlaki)
Being a Christian does not exempt us from challenges of life. Kuwa Mkristo hauepushwi na changamoto za maisha haya. {Pastor J Mlaki}
Christ must reign till all enemies are put under his feet. Kristo ni lazima atawale hadi maadui wote watakapowekwa chini ya miguu yake. {Pastor J Mlaki}
