Daily Words

The Holy Spirit's presence was the evidence that opened the way for baptism. Kushuka kwa Roho Mtakatifu kulifungua njia ili watu wabatizwe...{Pastor J.Mlaki}
By God’s grace we have been united with Christ. Kwa neema ya Mungu tumeunganishwa na Kristo..../Pastor J Mlaki
We are saved by Grace. Tunaokolewa kwa neema. {Pastor Joseph Mlaki}
Believe in Jesus Christ and have eternal life. Mwamini Yesu Kristo upate uzima wa milele..../ Pastor J Mlaki.
Receive the good word to fight evil. Pokea habari njema kushinda uovu.../Pastor J. Mlaki
What do you put your trust in? Je, umeweka wapi tumaini lako?
Living in Christ is living in truth. Kuishi katika Kristo ni kuishi ndani ya ukweli..../Pastor J. Mlaki
Jesus brought peace and reconciliation. Yesu ameleta amani na upatanisho. /..Pastor J Mlaki
The birth of Christ. Kuzaliwa kwa Yesu. {Pastor J Mlaki}
Christ promotes peace. Yesu analeta amani. {Pastor J Mlaki}