Daily Words
Mawazo yetu yatuuongoze vyema ili tuweze kuufikia uzima wa milele. /Heri Buberwa
Ni ahadi ya Mungu kutukomboa na kuturudisha kwake. /Heri Buberwa
Bwana atabariki wenye haki. /Heri Buberwa
Mungu atakayetupokea uzimani ndie atupae neema ya kumfuata kwa ukamilifu. /Heri Buberwa.
Pokea wito wa kuishi kwa imani. /Heri Buberwa
Uzima wa Ulimwengu ujao. The life of the world to come. /Heri Buberwa
Yesu atarudi kuwahukumu walio hai na wafu. /Heri Buberwa.
Tumwakilishe Mungu kwa kutenda haki. /Heri Buberwa.
Hatuna budi kuwa waaminifu kwa Mungu kwani yeye alitupenda kwanza. /Heri Buberwa.
Tunaitwa kutumia vipawa tulivyopewa kwa ajili ya Bwana. We are called to use the talents we have been given for the Lord. /Heri Buberwa
