Daily Words

Ahadi za Mungu ni kweli, Yesu atarudi tena kama mfalme. /Heri Buberwa.
Umejiandaa vipi ili Yesu akirudi asikuache? /Heri Buberwa.
Yesu atarudi kulichukua kanisa lake./Heri Buberwa.
Bwana yu karibu./Heri Buberwa.
Itengenezeni njia ya Bwana. /Heri Buberwa
Itengengenezeni njia ya Bwana. /Heri Buberwa
Heri anaeshika neno la Bwana pasipo kutenda uovu. /Heri Buberwa.
Yesu alikuja duniani akileta habari njema ya wokovu. /Heri Buberwa
Mioyo yetu imwadhimishe Bwana kwa utukufu wake. /Heri Buberwa.
Itengenezeni njia ya Bwana. Prepare the way of the Lord. / Heri Buberwa.