Daily Words
Ndoa yenye ushuhuda mwema ni chanzo cha familia bora. /Heri Buberwa.
Tuwe mashuda wazuri wa imani yetu kwa Yesu. /Heri Buberwa.
Mkaribishe Yesu nyumbani kwako, upate baraka zake. /Heri Buberwa.
Tukimtegemea Mungu, atabariki nyumba zetu. /Heri Buberwa.
Tumtegemee Mungu katika hali zote. / Heri Buberwa.
Mungu hutakasa nyumba zetu. /Heri Buberwa.
Kuishi na kufa kwetu ni katika Bwana... /Heri Buberwa
Bwana hatawaacha watu wake.. /Heri Buberwa
Tuwalete watu kwa Yesu wabatizwe, wafanyike kuwa wana wa Mungu..../Heri Buberwa.
Wabatizwao, ndio wana wa Mungu. /Heri Buberwa.
