Daily Words

Mungu hutupigania siku zote. /Heri Buberwa.
Bwana anakuja katika Ufalme wake. /Heri Buberwa.
Mwamini Yesu uwe na uzima wa milele. /Heri Buberwa.
Yesu atarudi kwa utukufu kulichukua kanisa lake kama alivyoahidi. /Heri Buberwa.
Bwana anakuja katika ufalme wake. /Heri Buberwa.
Mungu anatuita kumcha yeye. /Heri Buberwa
Neno la Mungu ndiyo kweli idumuyo milele. The Word of God is the eternal truth. /Heri Buberwa.
Chukua hatua ya imani kuuendea uzima wa milele ukiishi kwa kumpendeza Mungu. /Heri Buberwa.
Jihadhari na kuyumbishwa na manabii wa uongo, mtazame Yesu Kristo tu. /Heri Buberwa.
Bwana analijia Kanisa lake. /Heri Buberwa