VIDEOS
Angalia picha mjongeo (Video) za ibada na matukio maalum ya Usharika hapa https://m.youtube.com/@AZANIAFRONTCATHEDRAL
Matangazo ya usharika ya tarehe 30 Agosti 2026
DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI MATANGAZO
YA USHARIKA TAREHE 30 AGOSTI, 2026 SIKU YA BWANA YA 13 BAADA YA UTATU NENO LINALOTUONGOZA NI:
“TUMPENDE NA KUMJALI JIRANI WETU”
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni:Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 23/08/2026
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
Isaya 50:4 - 28-08-2026
Mithali 16:13 - 27-08-2026
Alhamisi asubuhi 27.08.2026
Mithali 16:13
Midomo ya haki ni furaha ya wafalme; Nao humpenda yeye asemaye yaliyo sawa.
Marko 7:31-37 - 24-08-2026
Waamuzi 11:29-33 - 25-08-2026
Hesabu 14:1-10 - 24-08-2026
Matangazo ya usharika ya tarehe 23 Agosti 2026
DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI MATANGAZO
