September 2026

Matangazo ya usharika ya tarehe 6 Septemba 2026

DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI MATANGAZO YA USHARIKA  TAREHE 06 SEPTEMBA, 2026 SIKU YA BWANA YA 14 BAADA YA UTATU 

NENO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI:  

“TUTENDE WAJIBU WETU KWA MUNGU KWA UAMINIFU”

1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.

2. Wageni:Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.

3. Matoleo ya Tarehe 30/08/2026

Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.

NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:

- 0757 391174 - KKKT AZANIA FRONT