Daily Words

Our passage this morning is very similar to that of yesterday morning. These are parallel passages from different gospels....Somo la leo linafanana sana na lile la jana kutoka Injili ya Marko. Kila injili ina mikazo tofauti kidogo.
Jesus is teaching His disciples about His Second coming and the end of the world.....Yesu anawafundisha mitume wake kuhusu ujio wake wa pili na mwisho wa dunia.
Jesus spent much time teaching His disciples about what would come in the future......Yesu mara kwa mara alifundisha wanafunzi wake kuhusu mambo yatayotokea...
This whole chapter is a vision of heaven. Heaven is where God is. It is a wonderful Holy place. ..Mlango huu nzima ni maono kuhusu mbinguni. Mbinguni ni mahali Mungu alipo. Ni mahali pa furaha na amani tele. ..
Jesus Christ is the Lamb of God who takes away the sins of the world....Yesu Kristo ni Mwana kondoo wa Mungu alikyechukua dambi ya ulimwengu...
In many other prophesies God judges His own people the Jewish nation. But here speaking through the Prophet Joel ....Kupitia manabii wengi Mungu anawonya Waisraeli kwa makosa yao. Lakini kupitia nabii Yoeli ...
In this vision given to The Apostle John he catches a glimpse of heaven....Mtume Yohana anapata maono ya jinsi ilivyo na itakavyokuwa mbinguni.
Proverbs of Solomon ....Methali za Mfalme Suleiman
How can we be pure in heart? By repenting our sins and trusting in Jesus Christ as our Lord and savior....Tutawezaje kuwa na moyo safi? Hatuwezi kwa nguvu zetu. Tuapaswa kumtegemea Mungu kila siku.
Jesus wanted to see people worshipping God in spirit and in truth in the Jewish Temple in Jerusalem...Yesu alikasirika kuona Hekalu la Mungu kule Yerusalemu likitumiwa vibaya kwa ajili ya biashara.