Daily Words
As Lutherans we believe that Baptism is a Sacrament and the foundation of our lives as Christians...Kama Walutheri tunaamini kwamba Ubatizo wa Kikristo ni Sakramenti, na ni msingi wa maisha yetu kama Wakristo.
....Presented by Pastor Chuwa
The Ethiopian was a convert to the Jewish faith and had been to Jerusalem to worship God. ..Mkushi alikuwa mwamini wa dini ya Kiyahudi. Pia alikuwa na bidii katika imani yake.
........Presented by Pastor Prudence Chuwa
Jesus is the light of the world. ...Yesu ni Nuru ya Ulimwengu.
God gave the Israeli people the Promised Land. The land was shared out among the 12 tribes...Mungu aliwapa Waisraeli nchi ya ahadi. Aligawa nchi hiyo kwa kabila 12 kila mmoja kwa eneo lake.
Let us not carry the burden of last year. In this New Year let us press towards our goal...Tusibebe tena mizigo ya mwaka jana. Tusonge mbele. Tukaze mwendo.
God is powerful. He is the one who created and sustains the world. ....Mungu ni mwenye nguvu. Mungu aliumba dunia na anatunza uumbaji wake wote.
We all want to be blessed and live fruitful and successful lives. Tunatamani sisi sote kubarikiwa na kupata furaha na mafanikio katika maisha yetu.
As we start this New Year let us commit our lives to Jesus. Let us put God first...Tunapoanza mwaka mpya, tujikabidi kwa Yesu. Tutafute kufanya mapenzi ya Mungu katika kila kitu.
By the Grace of God we have come to the end of another year...Kwa neema ya Mungu tumefika mwisho mwa mwaka.
The Magi showed great honour to Christ. They went a long way to find Him. They worshipped Him though He was only a baby...Mamajusi walikuwa na bidii kumtafuta Kristo. Walisafiri kutoka mbali. Waliabudu na kumsujudu pamoja na alikuwa mtoto mdogo.
