Daily Words

Trust in Jesus and let Him shine His light into your life. Mwamini Yesu na mruhusu akuangazie nuru yake. {Pastor P Chuwa}
Seek to be guided by the Holy Spirit in all you do. Tafuta kuongozwa na Roho Mtakatifu katika yote ufanyayo. {Pastor P. Chuwa}
Listen to the Holy Spirit inside you, follow his guidance. Msikilize Roho Mtakatifu ndani yako na ufuate anavyokuongoza. {Pastor P. Chuwa}
In this Christmas season, prepare to receive Jesus in spirit. Katika msimu huu wa Krismasi, jiandae kumpokea Yesu kiroho.
Pray that the Gospel reaches all people. Ombea Injili iwafikie watu wote. (Pastor P. Chuwa)
The Supremacy of the Son of God, Jesus Christ. Ukuu wa Mwana wa Mungu, Yesu Kristo. {Pastor P Chuwa}
Trust in God. His timing is perfect. Mwamini Mungu, wakati wake ni sahihi. {Pastor P Chuwa}
We will have a new life in heaven. Tutakuwa na maisha mapya mbinguni. (Pastor P. Chuwa)
We will have a new life in heaven. Tutakuwa na maisha mapya mbinguni. (Pastor P. Chuwa)
God desires that we would love and serve Him. Mungu anataka tumpende na tumtumikie. {Pastor P. Chuwa}