Daily Words
With the power of the Word of God, we can overcome temptation. Kwa nguvu ya Neno la Mungu, tutashinda majaribu. {C Swai, Elder}
You are my help and my deliverer; you are my God, do not delay. Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu, Ee Mungu wangu, usikawie.
Be ready to suffer for doing good. Kuwa tayari kuteseka kwa kutenda mema. {C. Swai, Elder}
Jesus calls you as you are. Yesu anakuita jinsi ulivyo. {Elder C Swai}
Today, if you hear his voice, do not harden your hearts. Leo, kama mtasikia sauti yake, msifanye mioyo yenu kuwa migumu. {Elder C Swai)
Jesus came to save us from our sins. Yesu alikuja kutukomboa kutoka katika dhambi. {Elder C. Swai}
We are saved by the Grace of God. Tunaokolewa kwa neema ya Mungu. {Elder C. Swai}
How much Good seed has been sown in your life? Has it grown to produce good fruits? Je, mbegu ngapi nzuri zimepandwa katika maisha yako? Je! zimekua na kuzaa matunda mema? {Pastor P Chuwa}
Give God the honour and worship which He alone deserves. Mpe Mungu heshima na utukufu ambao yeye pekee anastahili. { Pastor P Chuwa}
We should not be afraid of witchcraft but refuse all evil powers in the name of Jesus Christ. Tusiogope uchawi. Mungu ananguvu zaidi kuliko shetani na wachawi na nguvu zote za giza. Tumawamini na tumtegemee Yesu Kristo tu. {Pastor P Chuwa}
