Council of Elders

Council of Elders | Wazee wa Kanisa 2026 -2030

Hii ni orodha ya Baraza Jipya la Wazee wa Kanisa wa Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front Cathedral.

CHAPLAIN CHARLES MZINGA - Mwenyekiti

1. ZEBADIA MOSHI (ENG)

2. SIMON JENGO

3. CHARLES MKONYI (PROF)

Inahusika na Uhusiano na sharika za nje, na habari zinazohusu usharika kwa njia ya maandishi au mtandao.
Inahusika na kuweka sawa mafarakano yoyote yatakayotokea usharikani.
Inahusika na shuhuli za majengo na viwanja vinavyohusiana na usharika, ndani na nje.
Inahusika na program za afya na maendeleo ya jamii usharikani.