Warumi 13:1-7 - 08-09-2026
Tutende wajibu wetu kwa Mungu kwa uaminifu. {Somo na Heri Buberwa}

DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI MATANGAZO YA USHARIKA TAREHE 06 SEPTEMBA, 2026 SIKU YA BWANA YA 14 BAADA YA UTATU
NENO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI:
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni:Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 30/08/2026
Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO:
- 0757 391174 - KKKT AZANIA FRONT