Hii hapa ni ratiba ya matukio na Ibada zote kuelekea Sikukuu ya Pasaka ya mwaka huu wa 2022.
Events
Siku ya Jumamosi tarehe 2 Aprili 2022 imefanyika ibada ya wazee katika Usharika wa Kanisa Kuu Azana Front Cathedral, jijini Dar es Salaam.
Wanawake usharikani walishiriki katika kuongoza ibada ya Kwaresma iliyofanyika siku ya Jumatano tarehe 9/3/2022, ibada hiyo ilifanyika kwa kutumia
Kila mwaka wanawake wote wa kikristo duniani, huungana na kufanya maombi kwa pamoja kwa kuombea amani duniani, ushirikiano, upendo, kuombea familia
Viongozi wa Umoja wa wanawake usharikani, wakiongozana na kamati ya uinjilisti ya Umoja huo, hivi karibuni walitembelea mtaa wa Mvuti, ambao ni mmo
Hivi karibuni, viongozi wa Umoja wa wanawake wakishirikiana na wanawake wote usharikani, walizindua mazao yatokanayo na mradi wa ufugaji wa nyuki.
Glory to God in the highest heaven, and on earth peace among those whom he favors!' (Luke 2:14)."
Mlengwa (Msharika Mgeni) anapaswa kupakua fomu hii na kui
Siku ya Jumapili, tarehe 24/10/2021, Usharika wa KKKT Kanisa Kuu Azaniafront Cathedral umefanya maadhimisho ya sikukuu ya mavuno, sikukuu ambayo hu
