Daily Words

As Christians, we are called to be good Ambassadors of Jesus Christ in the way we live. Kama Wakristo, tunatakiwa kuwa mabalozi wema wa Yesu Kristo kwa jinsi tunavyoishi.. {By Pr. P. Chuwa}
The aim of God’s discipline is to help us to change our attitudes and to give up sinful behavior. Makukusudi ya Mungu kutuadhibu ni ili tuache dhambi na kumrudia yeye...{By Pr. P Chuwa}
As Christians we should be careful about our attitudes towards money. Wakristo tunaaswa tuwe waangalifu katika mtazamo wetu kuhusu pesa...{By Pastor P. Chuwa}
As Christians we know that all true wisdom comes from God...Kama Wakristo tunafahamu kwamba hekima ya kweli inatoka kwa Mungu..{By Pr. P Chuwa}
Even though we rebel against God, HE still wan'ts to reconciliation..Mungu anatutafuta tutubu na kumrudia japo tunamwaasi mara kwa mara. {By Pr. P Chuwa}
Confess and repent your sins and live to please God...Tubu dhambi zako na acha dhambi na uishi maisha ya kumpendeza Mungu. {By Pr. P Chuwa}
God is patient and Just..Mungu ni mwenye subira na haki..{By Pr. P. Chuwa}
Let us not wait to repent. As soon as you realize that you have sinned turn to God in repentance...Toba ni muhimu sana katika maisha yetu. Kila wakati uponaguswa kwamba umetenda dhambi tubu na uache...{By Pr P Chuwa}
We cannot earn our salvation by works but only by trusting in Jesus Christ as our Lord and savior ..Hatuokolewi kwa njia ya matendo yetu bali kwa imani katika Yesu Kristo..{By Pr. P Chuwa}
Do you believe in Jesus Christ as you Lord and saviour?...Je unamwamini Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wako? {By Pr. P Chuwa}