Daily Words
Jesus Christ has pronounced us redeemed by His own, precious blood. Yesu Kristo ametuhakikishia ukombozi kwa damu yake ya thamani. ../Pastor J. Mlaki
Je, unamtumikia Mungu kweli bila kuchanganya na ‘miungu’ wengine. Are you truly serving God without mixing with Him other ‘gods’. /C. Swai, Elder
Tujione maskini kwa maana ya kwamba tunamhitaji Yesu Kristo wakati wote. Let us see ourselves as poor in the sense that we need Jesus Christ all the time. /Heri Buberwa
Mungu anapenda wale wanaomcha, na huwabariki. God loves those who fear Him, and blesses them. /Heri Buberwa
Tunapaswa kuwa wavumilivu katika maisha yetu ya ufuasi. We must be patient in our life of discipleship. /Heri Buberwa
Mungu anawatumia makuhani wake kuhubiri habari za wokovu. God uses his priests to preach the message of salvation. / Heri Buberwa
Tunaitwa kumpokea na kumkubali Yesu. We are called to receive and accept Jesus. /Heri Buberwa
Asili ya Mungu ni upendo. God's nature is love. /Heri Buberwa
Imani ya kweli kwa Mungu wa Utatu ndiyo suluhisho la mwanadamu, katika maisha ya wokovu. True faith in the Trinity of God, is man's solution in the life of salvation. /Heri Buberwa
Kanisa la Kristo litawaliwe na neno lake, na siyo mawazo yetu. Christ's church should be governed by his word, not our own ideas. /Heri Buberwa
