Maandalizi ya Kwaya ya Upendo ya Kuzindua Albam
Jumapili Ya Tarehe 29/3/2015, Kwaya Ya Upendo Ilifanya Maandalizi Ya Kuzindua Albam Yao Mpya Kwa Kuchangisha Washarika Wa Kanisa Kuu Azaniafront Katika Ibada Ya Sikukuu Ya Mitende

Angalia picha mjongeo (Video) za ibada na matukio maalum ya Usharika hapa https://m.youtube.com/@AZANIAFRONTCATHEDRAL