Harambee ya azaniafront spiritual center, kiharaka Jumapili tarehe 28/09/2014
Tukio hilo lilifanyika kanisani Azania katika ibada zote 2 za kiswahili likiongozwa na Msaidizi wa Askofu Dean
George Fupe akisidiana na Chaplain Charles Mzinga.

Angalia picha mjongeo (Video) za ibada na matukio maalum ya Usharika hapa https://m.youtube.com/@AZANIAFRONTCATHEDRAL