RASMI: Safu Mpya ya Baraza la Wazee Azania Front Yaanza Kazi 🙏

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) na Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Baba Askofu Dkt. Alex Malasusa amewabariki na kuwaingiza kazini rasmi wajumbe wapya wa Baraza la Wazee wa Usharika wa Kanisa Kuu Azania Front katika ibada iliyofanyika Usharikani hapo, siku ya Jumapili, 2 Agosti 2026.

Safu hiyo mpya ya Baraza la Wazee ilipatikana katika mchakato wa uchaguzi uliofanyika katika Usharika wa Azania Front siku ya Jumapili, 14 Juni 2026 na itauongoza usharika kwa kipindi cha miaka minne (2026-2030).

Ibada hiyo pia imehudhuriwa na Msaidizi wa Baba Askofu, Dean Chediel Lwiza pamoja na Mchungaji Kiongozi wa Usharika, Chaplain Victor Makundi.

ORODHA MPYA YA WAZEE WA KANISA 2026-2030 

  1. Adela Kaale
  2. Albert Geofrey Mmari
  3. Anael Samuel Mshana
  4. Anitha Rwehumbiza
  5. Aron Ndasiwa
  6. Brenda Msangi Kinemo
  7. Catherine Haule
  8. David Mawalla
  9. Dina Lwaga
  10. Doris Maro
  11. Elieth Kileo Toya
  12. Fred Msemwa (Dr)
  13. Grace Mgonda Kiwanga
  14. Heri Nderingo
  15. Hilda Rwanshane
  16. Jaqueline Junior Swai
  17. Joan Rugemalila Matee (Dr)
  18. Judica Omari
  19. Lilian Mbowe
  20. Luty Makani
  21. Martha Mkony 9Dr)
  22. Mcharo Mlaki (Eng)
  23. Miriam Malasusa
  24. Mpale Silkiluwasha (Dr)
  25. Mtanya William Matuja
  26. Nangi Massawe
  27. Nsaa-iya Kihunrwa
  28. Rehema Mayanga Sanare
  29. Samuel Swai (Dr)
  30. Simon Jengo
  31. Victor Kida
  32. Vupe Ligate Mpuya
  33. Wilfred Moshi (Arch)

Matukio katika picha kutoka kwenye ibada na iliyoambatana na tendo la kuwabariki na kuwaingiza kazini Wazee wa Kanisa wa Usharika wa Azania Front Cathedral, 2 Agosti 2026. Picha: AZF/ Media Team.